Kumbukumbu ya Mt. Agata, Bikira na Shahidi
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 24:2, 9-17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 32:1-2, 5-7Ee Bwana, unisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Heri aliyesamehewa dhambi,
Na kusitiriwa makosa yake.
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,
Ambaye rohoni mwake hamna hila.
K. Ee Bwana, unisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Nalikujulisha dhambi yangu,
Wala sikuuficha upotovu wangu.
Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
K. Ee Bwana, unisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Kwa hiyo kila mtu mtauwa Akuombe wakati unapopatikana.
Hakika maji makuu yafurikapo, Hayatamfikia yeye.
K. Ee Bwana, unisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso,
Utanizungusha nyimbo za wokovu.
K. Ee Bwana, unisamehe upotovu wa dhambi yangu.
Injili
Mk 6:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni