Kumbukumbu ya Mt. Paulo Miki na wenzake, Wafiadini
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Fal 2:1-4, 10-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
1Nya 29:10-12Bwana watawala juu ya vyote
Uhimidiwe, Ee Bwana, Mungu wa Israeli baba yetu, milele na milele.
K. Bwana watawala juu ya vyote
Ee Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi;
K. Bwana watawala juu ya vyote
Ee Bwana, nawe umetukuzwa, u mkuu juu ya vitu vyote.
Utajiri na heshima hutoka kwako wewe,
K. Bwana watawala juu ya vyote
Mkononi mwako mna uweza na nguvu;
tena mkononi mwako mna kuwatukuza na kuwawezesha wote.
K. Bwana watawala juu ya vyote
Injili
Mk 6:7-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni