Jumatatu ya 3 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 5:1-7, 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 89:19-21, 24-25Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo.
Ndipo ulipowaambia watakatifu wako kwa njozi,
Ukasema, nimempa aliye hodari msaada;
Nimemtukuza aliyechaguliwa miongoni mwa watu.
K. Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo.
Nimemwona Daudi, mtumishi wangu,
Nimempaka mafuta yangu matakatifu.
Ambaye mkono wangu utakuwa thabiti kwake,
Na mkono wangu utamtia nguvu.
K. Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo.
Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo,
Na kwa jina langu pembe yake itatukuka.
Nitaweka mkono wake juu ya bahari,
Na mkono wake wa kuume juu ya mito.
K. Uaminifu wangu na fadhili zangu atakuwa nazo.
Injili
Mk 3:22-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni