Dominika ya 3 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 9:1–4Kwa maana umeivunja nira ya mzigo wake, na gongo la bega lake, na fimbo yake yeye aliyemwonea, kama katika siku ya Midani.
Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Neno moja nimelitaka kwa Bwana,
Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana
Siku zote za maisha yangu.
Niutazame uzuri wa Bwana,
Na kutafakari hekaluni mwake.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana
Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Somo la Pili
1Kor 1:10–13, 17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mt 4:23Kristo alihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa kila namna katika watu.
Aleluya.
Injili
Mt 4:12–23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni