Kumbukumbu ya Tomasi wa Akwino, Padre na Mwalimu w
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Sam 6:12–15, 17-19Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 24:7-10Ni nani mfalme mtukufu?
Ndiye Bwana, Mfalme wa utukufu.
Inueni vichwa vyenu, enyi malango,
Inukeni, enyi malango ya milele,
Mfalme mtukufu apate kuingia.
K. Ni nani mfalme mtukufu?
Ni nani mfalme wa utukufu?
Bwana mwenye nguvu hodari,
Bwana hodari wa vita.
K. Ni nani mfalme mtukufu?
Inueni vichwa vyenu, enyi malango,
Naam, viinueni, enyi malango ya milele,
Mfalme wa utukufu apate kuingia.
K. Ni nani mfalme mtukufu?
Ni nani huyu Mfalme wa utukufu?
Bwana wa majeshi,
Yeye ndiye mfalme wa utukufu.
K. Ni nani mfalme mtukufu?
Shangilio la Injili
Mt 11:25Utukuzwe Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya.
Injili
Mk 3:31-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni