Jumatatu ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
1Mak 1:10-15, 41-43, 54-57, 62-64Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:53, 61, 134, 150, 155, 158Ghadhabu imenishika kwa sababu ya wasio haki,
Waiachao sheria yako.
Kamba za wasio haki zimenifunga,
Sikuisahau sheria yako.
(K)Unihuishe kwa fadhili zako, nami nitazishika shuhuda za kinywa chako.
Unikomboe na dhuluma ya mwanadamu,
Nipate kuyashika mausia yako.
Wanakaribia wanaonifuatia kwa chuki,
Wamekwenda mbali na sheria yako.
(K)Unihuishe kwa fadhili zako, nami nitazishika shuhuda za kinywa chako.
Wokovu u mbali na wasio haki,
Kwa maana hawajifunzi amri zako.
Nimewaona watendao uhaini nikachukizwa,
Kwa sababu hawakulitii neno lako.
(K)Unihuishe kwa fadhili zako, nami nitazishika shuhuda za kinywa chako.
Shangilio la Injili
Zab 147:12, 15Msifu Bwana, Ee Yerusalemu, huipeleka amri yake juu ya nchi.
Aleluya.
Injili
Lk 18:35-43Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni