Dominika ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mal 4:1-2Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:5-9Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki.
Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi,
Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Kwa panda na sauti ya baragumu.
Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
K. Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki.
Bahari na ivume na vyote viijazavyo,
Ulimwengu nao wanaokaa ndani yake.
Mito na ipige makofi, Milima na iimbe pamoja kwa furaha mbele za Bwana;
K. Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki.
Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Atauhukumu ulimwengu kwa haki,
Na mataifa kwa adili.
K. Bwana anakuja awahukumu mataifa kwa haki.
Somo la Pili
2The 3:7-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Lk 21:36Kesheni kila wakati, mkiomba, ili mpate kusimama mbele za Mwana wa Adamu.
Aleluya
Injili
Lk 21:5-19Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (3)
TITUS STEVEN STEVEN · 12 Novemba 2020
Amina
TITUS STEVEN STEVEN · 12 Novemba 2020
Wimbo wa mwanzo unasemaje
TITUS STEVEN STEVEN · 12 Novemba 2020
Tumwimbie bwana katika roho na kweli