Jumanne ya 33 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Mak 6:18-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 3:1-6Bwana ananitegemeza.
Bwana, watesi wangu wamezidi kuwa wengi,
Ni wengi wanaonishambulia,
Ni wengi wanaoiambia nafsi yangu,
Hana wokovu huyu kwa Mungu.
K. Bwana ananitegemeza.
Na Wewe, Bwana, U ngao yangu pande zote,
Utukufu wangu na mwinua kichwa changu.
Kwa sauti yangu namwita Bwana
Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu.
K. Bwana ananitegemeza.
Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka,
Kwa kuwa Bwana ananitegemeza.
Sitayaogopa makumi elfu ya watu,
Waliojipanga juu yangu pande zote.
K. Bwana ananitegemeza.
Injili
Lk 19:1-10Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Alanus Kajara · 19 Novemba 2019
Neno Injili inapendeza likiandikwa kwa herufi kubwa INJILI, ishara ya nguvu na mamlaka na ukuu.