Jumanne ya 19 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 31:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Kum 32:3-4, 7-9, 12Sehemu ya Bwana ni watu wake
Maana nitalitangaza Jina la Bwana;
Mpeni ukuu Mungu wetu.
Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu;
Maana, njia zake zote ni haki.
K. Sehemu ya Bwana ni watu wake
Kumbuka siku za kale,
Tafakari miaka ya vizazi vingi;
Mwulize baba yako, naye atakuonyesha;
Wazee wako, nao watakuambia.
K. Sehemu ya Bwana ni watu wake
Yeye Aliye Juu alipowapa mataifa urithi wao,
Alipowabagua wanadamu,
Aliweka mipaka ya watu Kwa kadiri ya hesabu ya wana wa Israeli.
K. Sehemu ya Bwana ni watu wake
Maana, sehemu ya Bwana ni watu wake,
Yakobo ni kura ya urithi wake.
Bwana peke yake alimwongoza,
Wala hapakuwa na mungu mgeni pamoja naye.
K. Sehemu ya Bwana ni watu wake
Injili
Mt 18: 1-5, 10, 12-14Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni