Jumatatu ya 19 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 10:12-22Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:12-15,19-20Msifu Bwana, ee Yerusalemu, au: Aleluya
Msifu Bwana, ee Yerusalemu,
msifu Mungu wako, ec Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako,
amewabariki wanao ndani yako.
K. Msifu Bwana, ee Yerusalemu, au: Aleluya
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako,
akushibishaye kwa unono wa ngano.
Huipeleka amri yake juu ya nchi,
neno lake lapiga mbio sana.
K. Msifu Bwana, ee Yerusalemu, au: Aleluya
Humhubiri Yakobo neno lake,
na Israeli amri zake na hukumu zake
Hakulitenda taifa lo lote mambo kama hayo,
wala hukumu zake hawakuzijua.
Aleluya.
K. Msifu Bwana, ee Yerusalemu, au: Aleluya
Shangilio la Injili
Yn 14:5Bwana anasema, mimi ndimi njia, na ukweli, na uzima
Aleluya.
Injili
Mt 17:22-27Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni