Jumatano ya 19 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 34: 1-12Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 66 :1-3, 5, 8, 16-17Ahimidiwe Mungu, aliyeweka nafsi yetu katika uhai.
Mpigie Mungu kelele za shangwe, nchi yote,
imbeni utukufu wa jina lake,
tukuzeni sifa zake.
Mwambieni Mungu: Matendo yako yatisha kama nini.
K. Ahimidiwe Mungu, aliyeweka nafsi yetu katika uhai.
Njani yatazameni matendo ya Mungu,
Hutisha kwa mambo awetendayo wanadamu.
Enyi mataifa, mtukuzeni Munug wetu,
itangazeni sauti ya sifa zake.
K. Ahimidiwe Mungu, aliyeweka nafsi yetu katika uhai.
Njoni sikieni, ninyi nyotc mnaomcha Mungu,
nami nitayatangaza alivyonitendea roho yangu.
Nalimwita kwa kinywa changu,
na sifa kuu zilikuwa chini ya ulimi wangu.
K. Ahimidiwe Mungu, aliyeweka nafsi yetu katika uhai.
Shangilio la Injili
2Kor 5:19Mungu alikuwa ndani ya Kristu, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake. ametia ndani yetu neno la upatanisho.
Aleluya.
Injili
Mt 18:15-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni