Ijumaa ya 18 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kum 4: 32-40Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 77:11-15, 20Ninayakumbuka matendo ya Bwana.
Nitayakumbuka matendo ya Bwana,
Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale.
Pia nitaitafakari kazi yako yote;
Nitaziwaza habari za matendo yako.
K. Ninayakumbuka matendo ya Bwana.
Ee Mungu, njia yako i katika utakatifu;
Ni nani aliye mungu mkuu kama Mungu?
Wewe ndiwe Mungu ufanyaye maajabu;
Uliudhihirisha uweza wako kati ya mataifa.
K. Ninayakumbuka matendo ya Bwana.
Kwa mkono wako umewakomboa watu wako,
Wana wa Yakobo na Yusufu.
Uliwaongoza watu wako kama kundi,
Kwa mkono wa Musa na Haruni.
K. Ninayakumbuka matendo ya Bwana.
Shangilio la Injili
Mt 4:4Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.
Aleluya.
Injili
Mt 16:24-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni