Alhamisi ya 18 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Hes 20:1-13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 95:1-2, 6-9Ingekuwa heri msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni, tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele zake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni, tuabudu, tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
K. Ingekuwa heri msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri msikie sauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Injili
Mt 16:13-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni