Sikukuu ya Mtakatifu Laurent, Mshahidi
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 9: 6-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 112:1-2, 4, 9Heri atendaye fadhali na kukopesha.
Heri mtu yule amchaye Bwana,
Apendezwaye sana na maagizo yake.
Wazao wake watakuwa hodari duniani;
Kizazi cha wenye adili kitabarikiwa.
K. Heri atendaye fadhali na kukopesha.
Nuru huwazukia wenye adili gizani;
Ana fadhili na huruma na haki.
K. Heri atendaye fadhali na kukopesha.
Amekirimu, na kuwapa maskini,
Haki yake yakaa milele,
Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
K. Heri atendaye fadhali na kukopesha.
Shangilio la Injili
Yn 8:12Yeye anifuataye, asema Bwana, hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.
Aleluya.
Injili
Yn 12:24-26Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni