Jumatatu ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 6:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake
Shangilio la Injili
Efe. 1:17,18Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristu, awape roho ya hekima mjue tumaini la mwito wake.
Aleluya.
Injili
Mt 5:38-42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni