Sherehe ya Utatu Mtakatifu
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mit 8 : 22-31Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 8:3-8Wewe, Mungu, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako,
Mwezi na nyota ulizoziratibisha,
Mtu ni kitu gani hata umkumbuke,
Na binadamu hata umwangalie?
K. Wewe, Mungu, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Umemfanya mdogo punde kuliko Mungu;
Umemvika taji ya utukufu na heshima;
Umemtawaza juu ya kazi ya mikono yako;
Umevitia vitu vyote chini ya miguu yake.
K. Wewe, Mungu, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Kondoo, na ng’ombe wote pia;
Naam, na wanyama wa kondeni;
Ndege wa angani, na samaki wa baharini;
Na kila kipitiacho njia za baharini.
K. Wewe, Mungu, Bwana wetu, Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani mwote!
Somo la Pili
Rum 5:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Ufu 1:8Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu, Mungu ambaye yupo, aliyekuwako, na atakayekuja.
Aleluya.
Injili
Yn 16:12-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni