Jumanne ya 11 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
2Kor 8:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:2, 5-9Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Nitamsifu Bwana muda ninaoishi,
Nitamwimbia Mungu wangu ningali ni hai.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake,
Na tumaini lake ni kwa Bwana, Mungu wake,
Aliyezifanya mbingu na nchi,
Bahari na vitu vyote vilivyomo.
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula;
Bwana hufungua waliofungwa;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Bwana huwafumbua macho waliopofuka;
Bwana huwainua walioinama;
Bwana huwapenda wenye haki;
Bwana huwahifadhi wageni;
K. Ee nafsi yangu, umsifu Bwana.
Injili
Mt 5:43-48Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni