Jumanne ya 8 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1Pet 1:10-16Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Bwana ameufunua wokuvu wake.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe, Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Bwana ameufunua wokuvu wake.
Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake, Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Bwana ameufunua wokuvu wake.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote, Inueni sauti,
imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameufunua wokuvu wake.
Shangilio la Injili
Mt 11:25Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.
Aleluya
Injili
Mk 10:28-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni