Jumatano ya 8 ya Mwaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
1Pet 1:18-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:12-15, 19-20Msifu Bwana, Ee Yerusalemu; Msifu Mungu wako, Ee Sayuni.
Maana ameyakaza mapingo ya malango yako, Amewabariki wanao ndani yako.
(K)Msifu Bwana ee Yerusalemu
Ndiye afanyaye amani mipakani mwako, Akushibishaye kwa unono wa ngano.
Huipeleka amri yake juu ya nchi, Neno lake lapiga mbio sana.
(K)Msifu Bwana ee Yerusalemu
Humhubiri Yakobo neno lake, Na Israeli amri zake na hukumu zake.
Hakulitendea taifa lo lote mambo kama hayo, Wala hukumu zake hawakuzijua. Haleluya.
(K)Msifu Bwana ee Yerusalemu
Shangilio la Injili
Mk 10:45Mwana wa Adamu naye hakuja kutumikiwa, bali kutumika, na kutoa nafsi yake iwe fidia ya wengi.
Aleluya
Injili
Mk 10:32-45Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni