Bikira Maria anakwenda kumamkia Elizabeti
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Sef 3:14-18aNeno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Isa 12:2-6Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Tazama, Mungu ndiye wokovu wangu;
Nitatumaini wala sitaogopa;
Maana Bwana Yehova ni nguvu zangu na wimbo wangu;
Naye amekuwa wokovu wangu.
Basi, kwa furaha mtateka maji katika visima vya wokovu.
(K)Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake;
Yatangazeni matendo yake kati ya mataifa,
Litajeni jina lake kuwa limetukuka.
K. Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Mwimbieni Bwana; kwa kuwa ametenda makuu;
Na yajulikane haya katika dunia yote.
Paza sauti, piga kelele, mwenyeji wa Sayuni;
Maana Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
K. Mtakatifu wa Israeli ni mkuu kati yako.
Injili
Lk 1:39-56Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni