Alhamisi ya 6 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 18:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 98:1-4Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
Kwa maana ametenda mambo ya ajabu.
Mkono wa kuume wake mwenyewe,
Mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa.
Bwana ameufunua wokovu wake,
Machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake.
Amezikumbuka rehema zake,
Na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa.
Miisho yote ya dunia imeuona Wokovu wa Mungu wetu.
Mshangilieni Bwana, nchi yote,
Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
K. Bwana ameufunua wokovu wake, Machoni pa mataifa.
Injili
Yn 16:16-20Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni