Jumamosi ya 6 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 18:23-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 47:1-2, 7-9Mungu ndiye mfalme wa dunia yote
Enyi watu wote, pigeni makofi,
Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya shangwe.
Kwa kuwa Bwana Aliye juu, mwenye kuogofya,
Ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote
Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote,
Imbeni kwa akili.
Mungu awamiliki mataifa,
Mungu ameketi katika kiti chake kitakatifu.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote
Wakuu wa watu wamekusanyika,
Wawe watu wa Mungu wa Ibrahimu.
Maana ngao za dunia zina Mungu,
Ametukuka sana.
K. Mungu ndiye mfalme wa dunia yote
Injili
Yn 16:23-28Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni