Jumatano ya 6 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 17:15, 22 - 18:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 148:1-2, 11-14Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Haleluya. Msifuni Bwana kutoka mbinguni;
Msifuni katika mahali palipo juu.
Msifuni, enyi malaika wake wote;
Msifuni, majeshi yake yote.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Wafalme wa dunia, na watu wote,
Wakuu, na makadhi wote wa dunia.
Vijana waume, na wanawali, Wazee, na watoto;
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Na walisifu jina la Bwana,
Maana jina lake peke yake limetukuka;
Adhama yake i juu ya nchi na mbingu.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Naye amewainulia watu wake pembe,
Sifa za watauwa wake wote;
Wana wa Israeli, watu walio karibu naye. Haleluya.
K. Utukufu wako unajaza mbingu na ulimwengu.
Injili
Yn 16:12-15Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni