Alhamisi ya 4 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 12:18-19, 21-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 48:1-3, 8-10Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, katikati ya hekalu lako.
Bwana ndiye aliye mkuu,
Na mwenye kusifiwa sana.
Katika mji wa Mungu wetu,
Katika mlima wake mtakatifu.
Kuinuka kwake ni mzuri sana,
Ni furaha ya dunia yote.
K. Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, katikati ya hekalu lako.
Mlima Sayuni pande za kaskazini,
Mji wa Mfalme mkuu.
Mungu katika majumba yake Amejijulisha kuwa ngome.
K. Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, katikati ya hekalu lako.
Kama tulivyosikia, ndivyo tulivyoona,
Katika mji wa Bwana wa majeshi.
Mji wa Mungu wetu;
Mungu ataufanya imara hata milele.
K. Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, katikati ya hekalu lako.
Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu,
Katikati ya hekalu lako.
Kama lilivyo jina lako, Ee Mungu,
Ndivyo na sifa yako hata miisho ya dunia.
Mkono wako wa kuume umejaa haki;
K. Tumezitafakari fadhili zako, Ee Mungu, katikati ya hekalu lako.
Injili
Mk 6:7-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni