Kumbukumbu ya Wat. Paulo Miki na Wenzake (Mashahid
· Mwaka C · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Ebr 12:4-7, 11-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 103:1-2, 13-14, 17-18Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana.
Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu.
Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana,
Wala usizisahau fadhili zake zote.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Kama vile baba awahurumiavyo watoto wake,
Ndivyo Bwana anavyowahurumia wamchao.
Kwa maana Yeye anatujua umbo letu,
Na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi.
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Bali fadhili za Bwana zina wamchao Tangu milele hata milele,
Na haki yake ina wana wa wana;
Maana, wale walishikao agano lake,
K. Fadhili za Bwana zina wamchao tangu milele hata milele.
Injili
Mk 6:1-6Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni