Kumbukumbu ya Mt. Bernado
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 24:15-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Kum 32:18-21Umemsahau Mungu aliyekuzaa.
Humkumbuki Mwamba aliyekuzaa,
Mungu aliyekuzaa umemsahau.
Bwana akaona, akawachukia,
Kwa sababu ya kukasirishwa na wanawe na binti zake.
K. Umemsahau Mungu aliyekuzaa.
Akasema, Nitawaficha uso wangu,
Nitaona mwisho wao utakuwaje;
Maana, ni kizazi cha ukaidi mwingi,
Watoto wasio imani ndani yao.
K. Umemsahau Mungu aliyekuzaa.
Wamenitia wivu kwa kisicho Mungu;
Wamenikasirisha kwa ubatili wao;
Nami nitawatia wivu kwa wasio watu,
Nami nitawakasirisha kwa taifa lipumbaalo.
K. Umemsahau Mungu aliyekuzaa.
Shangilio la Injili
1Sam 3:9, Yn 6:68Nena Bwana, kwa kuwa mtumishi wako anasikia: Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
Aleluya
Injili
Mt 19:16-22Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni