Dominika ya 20 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mit 9:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 34:1-2, 9-14Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema.
Nitamhimidi Bwana kila wakati,
Sifa zake zi kinywani mwangu daima.
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu,
wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
K. Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema.
Mcheni Bwana, enyi watakatifu wake,
Yaani, wamchao hawahitaji kitu.
Wana-sifmba hutindikiwa, huona njaa;
Bali wamtafutao Bwana hawatahitaji kitu
Chochote kilicho chema.
K. Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema.
Njoni, enyi wana, mnisikilize,
nami nitawafundisha kumcha Bwana.
Ni nani mtu yule apendezwaye na uzima,
apendaye siku nyingi apate kuona mema?
K. Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema.
Uuzuie ulimi wako na mabaya,
Na midomo yako na kusema hila.
Uache mabaya ukatende mema,
Utafute amani ukaifuatie.
K. Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema.
Somo la Pili
Efe 5:15-20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:6mimi ndimi Njia, na Ukweli, na Uzima, asema Bwana; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Aleluya.
Injili
Yn 6:51-59Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni