Jumatano katika Oktava ya Pasaka
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Mdo 3:1-10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 105:1-4, 6-9 au AleluyaHaleluya. Mshukuruni Bwana,liitieni jina ,Wajulisheni watu matendo yake.
Mwimbieni, mwimbieni kwa zaburi, Zitafakarini ajabu zake zote.
(K)Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao Bwana.
Mtakeni Bwana na nguvu zake, Utafuteni uso wake sikuzote.
(K)Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Enyi wazao wa Ibrahimu, mtumishi wake; Enyi wana wa Yakobo, wateule wake.
Yeye, Bwana, ndiye Mungu wetu; Duniani mwote mna hukumu zake.
(K)Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Analikumbuka agano lake milele; Neno lile aliloviamuru vizazi elfu.
Agano alilofanya na Ibrahimu, Na uapo wake kwa Isaka.
(K)Bwana anajaza nchi na fadhili zake.
Injili
Lk 24:14-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni