Ijumaa ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka C
Somo la Kwanza
Hos 14:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 81:6-10, 13, 16Nimelitenga bega lake na mzigo, Mikono yake ikaachana na kikapu.
Katika shida uliniita nikakuokoa; Nalikuitikia katika sitara ya radi; Nalikujaribu penye maji ya Meriba.
Enyi watu wangu, sikieni,
(K)Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Sikiliza sauti yangu
Nami nitawaonya, Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
Usiwe na mungu mgeni ndani yako; Wala usimsujudie mungu mwingine.
(K)Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Sikiliza sauti yangu
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Niliyekupandisha toka nchi ya Misri; Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
Lakini watu wangu hawakuisikiliza sauti yangu, Wala Israeli hawakunitaka.
(K)Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Sikiliza sauti yangu
Laiti watu wangu wangenisikiliza, Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano, Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
(K)Mimi ndimi Bwana, Mungu wako, Sikiliza sauti yangu
Injili
Mk 12:28-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni