Ijumaa ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Hos 14:1-9Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 81:6-10, 13, 16Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza
Nimelitenga bega lake na mzigo,
Mikono yake ikaachana na kikapu.
Katika shida uliniita nikakuokoa;
Nalikuitikia katika sitara ya radi;
Nalikujaribu penye maji ya Meriba. Enyi watu wangu
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza
Sikieni, nami nitawaonya,
Ee Israeli, kama ukitaka kunisikiliza;
Usiwe na mungu mgeni ndani yako;
Wala usimsujudie mungu mwingine.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza
Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,
Niliyekupandisha toka nchi ya Misri;
Fumbua sana kinywa chako nami nitakijaza.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza
Laiti watu wangu wangenisikiliza,
Na Israeli angeenenda katika njia zangu;
Naam, ningewalisha kwa unono wa ngano,
Ningewashibisha kwa asali itokayo mwambani.
K. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, Sikiliza
Shangilio la Injili
Zab. 95:7, 8Injili
Mk 12:28-34Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni