Alhamisi ya 3 ya Kwaresima
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Yer 7:23-28Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 95:1-2, 6-9Ingekuwa heri leo msikie saauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni, tumwimbie Bwana,
Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu.
Tuje mbele zake kwa shukrani,
Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
K. Ingekuwa heri leo msikie saauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Njoni, tuabudu, tusujudu,
Tupige magoti mbele za Bwana aliyetuumba.
Kwa maana ndiye Mungu wetu,
Na sisi tu watu wa malisho yake,
Na kondoo za mkono wake.
Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
K. Ingekuwa heri leo msikie saauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Msifanye migumu mioyo yenu;
Kama vile huko Meriba Kama siku ya Masa jangwani.
Hapo waliponijaribu baba zenu,
Wakanipima, wakayaona matendo yangu.
K. Ingekuwa heri leo msikie saauti yake! Msifanye migumu mioyo yenu.
Shangilio la Injili
Zab. 51:10, 12Injili
Lk 11:14-23Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni