Dominika ya 29 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 45:1, 4-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 96:1, 3-5, 7-10Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Mwimbieni Bwana, nchi yote.
Wahubirini mataifa habari za utukufu wake,
Na watu wote habari za maajabu yake.
K. Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Kwa kuwa Bwana ni mkuu mwenye kusifiwa sana,
Na wa kuhofiwa kuliko miungu yote.
Maana miungu yote ya watu si kitu,
Lakini Bwana ndiye aliyezifanya mbingu.
K. Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mpeni Bwana enyi jamaa za watu,
Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake.
Leteni sadaka mkaziingie nyua zake.
K. Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Mwabuduni Bwana kwa uzuri wa utakatifu,
Tetemekeni mbele zake, nchi yote.
Semeni katika mataifa, Mungu ni mfalme,
Atawahukumu watu kwa adili.
K. Mpeni Bwana utukufu na nguvu.
Somo la Pili
1Thes 1:1-5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 15:15Ninyi nimewaita rafiki, kwa kuwa yote niliyoyasikia, kwa Baba yangu nimewaarifu.
Aleluya.
Injili
Mt 22:15-21Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni