Jumatatu ya 16 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mik 6:1–4, 6–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:5–6, 8–9, 16–17, 21, 23Nikusanyieni wacha Mungu wangu,
Waliofanya agano nami kwa dhabihu.
Na mbingu zitatangaza haki yake,
Kwa maana Mungu ndiye aliye hakimu.
(K)Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako,
Wala beberu katika mazizi yako.
(K)Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Mtu asiye haki, Mungu amwambia,
Una nini wewe kuitangaza sheria yangu.
Maana wewe umechukia maonyo,
Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
(K)Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Ndivyo ulivyofanya, nami nikanyamaza,
Ukadhani ya kuwa Mimi ni kama wewe.
Atoaye dhabihu za kushukuru ndiye anayenitukuza,
Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
(K)Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 17:17Neno lako ndiyo kweli, ee Bwana, ututakase kwa ile kweli.
Aleluya.
Injili
Mt 12:38–42Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni