Kumbukumbu ya Mt. Scholastika, Bikira
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mwa 3:1-8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 32:1-2, 5-7Heri aliyesamehewa dhambi,
Na kusitiriwa makosa yake.
Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,
Ambaye rohoni mwake hamna hila.
(K)Heri aliyesamehewa dhambi
Nalikujulisha dhambi yangu,
Wala sikuuficha upotovu wangu.
Nalisema, Nitayakiri maasi yangu kwa Bwana,
Nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu.
(K)Heri aliyesamehewa dhambi
Kwa hiyo kila mtu mtauwa Akuombe wakati unapopatikana.
Hakika maji makuu yafurikapo, Hayatamfikia yeye.
(K)Heri aliyesamehewa dhambi
Ndiwe sitara yangu, utanihifadhi na mateso,
Utanizungusha nyimbo za wokovu.
(K)Heri aliyesamehewa dhambi
Shangilio la Injili
Zab. 119:34Unifahamishe nami nitaishika sheria yako, maajabu yatokayo katika sheria yako.
Aleluya.
Injili
Mk 7:31-37Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni