Alhamisi ya 5 ya Mwaka
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Mwa 2:18-25Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 128:1-5Heri kila mtu amchaye Bwana
Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake.
Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana
Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao, Vyumbani mwa nyumba yako.
Wanao kama miche ya mizeituni Wakiizunguka meza yako.
K. Heri kila mtu amchaye Bwana
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Bwana akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
K. Heri kila mtu amchaye Bwana
Shangilio la Injili
Zab. 119:135Umwangazie mtumishi wako uso wako, na kunifundisha amri zako.
Aleluya.
Injili
Mk 7:24-30Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni