Ijumaa ya 15 ya Mwaka
· Mwaka A · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 38:1–6, 21–22, 7–8Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Isa 38:10–12, 16Umeniokoa na shimo la uharibifu, Ee Bwana.
Nalisema, katika usitawi wa siku zangu
Nitakwenda kuingia malango ya kuzimu;
Nimenyimwa mabaki ya miaka yangu.
K. Umeniokoa na shimo la uharibifu, Ee Bwana.
Nalisema, Sitamwona Bwana, yeye Bwana,
Katika nchi ya walio hai;
Sitamwona mwanadamu tena pamoja na hao
Wakaao duniani.
K. Umeniokoa na shimo la uharibifu, Ee Bwana.
Kao langu limeondolewa kabisa,
Limechukuliwa kama hema ya mchungaji;
Nimekunja maisha yangu kama mfumaji;
Atanikatilia mbali na kitanda cha mfumi;
Tangu mchana hata usiku wanimaliza.
K. Umeniokoa na shimo la uharibifu, Ee Bwana.
Ee Bwana, kwa mambo hayo watu huishi;
Na uhai war oho yangu u katika hayo yote;
Kwa hiyo uniponye na kunihuisha.
K. Umeniokoa na shimo la uharibifu, Ee Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 10:27Kondoo wangu waisikia sauti yangu, name nawajua, nao wanifuata.
Aleluya.
Injili
Mt 12:1–8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni