Dominika ya 5 ya Mwaka
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa. 58:7 – 10Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab. 112:4 – 9Nuru huwazukia wenye adili gizani.
Nuru huwazukia wenye adili gizani;
Ana fadhili na huruma na haki.
Heri atendaye fadhili na kukopesha;
Atengenezaye mambo yake kwa haki.
K. Nuru huwazukia wenye adili gizani.
Kwa maana hataondoshwa kamwe;
Mwenye haki atakumbukwa milele.
Hataogopa habari mbaya;
Moyo wake u imara ukimtumaini Bwana.
K. Nuru huwazukia wenye adili gizani.
Moyo wake umethibitika hataogopa,
Hata awaone watesi wake wameshindwa.
Amekirimu na kuwapa maskini,
Haki yake yakaa milele,
Pembe yake itatukuzwa kwa utukufu.
K. Nuru huwazukia wenye adili gizani.
Somo la Pili
1Kor. 2:1 – 5Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Mdo. 16:14Mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, mwenyeji wa Thiatira, mcha Mungu, akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.
Aleluya.
Injili
Mt. 5:13 – 16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni