Jumatatu ya 17 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Kut 32:15-24, 30-34Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 106:19-23Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Walifanya ndama huko Horebu,
Wakaisujudia sanamu ya kuyeyuka.
Wakaubadili utukufu wao Kuwa mfano wa ng'ombe mla majani.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Wakamsahau Mungu, mwokozi wao,
Aliyetenda makuu katika Misri.
Matendo ya ajabu katika nchi ya Hamu,
Mambo ya kutisha penye bahari ya Shamu.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Akasema ya kuwa atawaangamiza Kama Musa,
mteule wake, asingalisimama,
Mbele zake kama mahali palipobomoka,
Ili aigeuze hasira yake asije akawaharibu.
K. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema.
Injili
Mt 13:31-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni