Dominika ya 17 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 1 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 18:20-32Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 138:1-3,6-9Nitakushukuru kwa moyo wangu wote,
Mbele ya miungu nitakuimbia zaburi.
Nitasujudu nikilikabili hekalu lako takatifu,
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Nitalishukuru jina lako,
Kwa ajili ya fadhili zako na uaminifu wako,
Kwa maana umekuza ahadi yako,
Kuliko jina lako lote.
Siku ile niliyokuita uliniitikiu,
Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyenyekevu,
Naye amjua mwenyc kujivuna tokca mbali.
Nijapokwenda kati ya shida utanihuisha,
Utanyosha mkono juu ya hasira ya adui zangu.
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Na mkono wako wa kuume utaniokoa.
Bwana atanitimiliza mambo yangu;
Ec Bwana, fadhili zako ni za milele;
Usiziache kazi za mikono yako.
(K)Siku ile niliyokuita uliniitikia, Ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Somo la Pili
Kol 2:12-14Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Shangilio la Injili
Yn 14:23Yn 14:23Mtu akinipenda, atashika neno langu, na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake.
Aleluya.
Injili
Lk 11:1-13Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (1)
Elipidius Kamgisha · 27 Julai 2025
Tafakari ya leo iniongoze nitendewe vilivyo siku hii ya leo bwana tenda muujiza