Alhamisi ya 2 ya Noeli
· Mwaka A
Somo la Kwanza
1 Yn 3:11-21Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 100Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote
Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;
Mtumikieni Bwana kwa furaha;
Njoni mbele zake kwa kuimba;
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote
Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu;
Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake;
Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote
Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake;
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote
Kwa kuwa Bwana ndiye mwema;
Rehema zake ni za milele;
Na uaminifu wake vizazi na vizazi.
K. Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote
Shangilio la Injili
Ebr. 1:1-2Baada ya Mungu kusema zamani mara nyingi, na kwa namna nyingi na baba zetu kwa kinywa cha manabii, Siku hizi zilizo za mwisho amesema nasi kwa kinywa cha Mwana.
Aleluya.
Injili
Yn 1:43-51Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni