Jumanne ya 3 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 7:51-8:1Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 31:2-3, 5, 7, 16, 20Mikononi mwako naiweka roho yangu, ee Bwana.
Uwe kwangu mwamba wa nguvu,
Nyumba yenye maboma ya kunionkoa.
Ndiwe genge langu na ngome yangu;
Kwa ajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
K. Mikononi mwako naiweka roho yangu, ee Bwana.
Mikononi mwako naiweka roho yangu;
Umenikomboa, Ee Bwana, Mungu wa kweli.
Bali mimi namtumaini Bwana.
Na nishangilie, nizifurahie fadhili zako.
K. Mikononi mwako naiweka roho yangu, ee Bwana.
Umwangaze mtumishi wako,
Kwa nuru ya uso wako;
Uniokoe kwa ajili ya fadhili zako.
Utawaficha katika hema
Na mashindano ya ndimi.
K. Mikononi mwako naiweka roho yangu, ee Bwana.
Shangilio la Injili
Yn 10:14Mimi ndimi mchungaji mwema, nao walio wangu nawajua, nao walio wangu wanijua mimi.
Aleluya.
Injili
Yn 6:30-35Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni