Jumatatu ya 3 ya Pasaka
· Mwaka C · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mdo 6:8-15Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 119:23-24, 26-27, 29-30Heri walio kamili njia zao.
Wakuu nao waliketi wakaninena,
Lakini mtumishi wako atazitafakari amri zako.
Shuhuda zako ndizo furaha yangu,
Na washauri wangu.
K. Heri walio kamili njia zao.
Nalizisimulia njia zangu ukanijibu,
Unifundisha amri zako.
Unifahamishe njia ya mausia yako,
Nami nitayatafakari maajabu yako.
K. Heri walio kamili njia zao.
Uniondolee njia ya uongo,
Unineemesha kwa sheria yako.
Nimeichagua njia ya uaminifu,
Na kuziweka hukumu zako mbele yangu.
K. Heri walio kamili njia zao.
Shangilio la Injili
Lk 24:25-26Ilimpasa Kristu kupata mateso haya, na kuingia katika utukufu wake.
Aleluya.
Injili
Yn 6:22-29Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni