Jumanne ya Juma Kuu
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 49:1-6Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 71:1-6, 15, 17Nimekukimbilia Wewe, Bwana,
Nisiaibike milele.
Kwa haki yako uniponye, uniopoe,
Unitegee sikio lako, uniokoe.
(K)Kinywa changu kitasimulia wokovu wako.
Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu,
Nitakakokwenda sikuzote. Umeamuru niokolewe,
Ndiwe genge langu na ngome yangu.
Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi,
Katika mkono wake mwovu, mdhalimu.
(K)Kinywa changu kitasimulia wokovu wako.
Maana ndiwe taraja langu, Ee Bwana Mungu,
Tumaini langu tokea ujana wangu.
Nimekutegemea Wewe tangu kuzaliwa,
Ndiwe uliyenitoa tumboni mwa mama yangu.
(K)Kinywa changu kitasimulia wokovu wako.
Kinywa changu kitasimulia haki na wokovu wako Mchana kutwa;
maana sijui hesabu yake.
Ee Mungu, umenifundisha tokea ujana wangu;
Nimekuwa nikitangaza miujiza yako hata leo.
(K)Kinywa changu kitasimulia wokovu wako.
Injili
Yn 13:21-33, 36-38Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni