Jumatatu ya Juma Kuu
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 42:1-7Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1-3, 13-14Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
Bwana ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?
(K)Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Watenda mabaya waliponikaribia,
Wanile nyama yangu,
Watesi wangu na adui zangu,
Walijikwaa wakaanguka.
(K)Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Jeshi lijapojipanga kupigana nami,
Moyo wangu hautaogopa.
Vita vijaponitokea,
Hata hapo nitatumaini.
(K)Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana
Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari,
Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
(K)Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu.
Injili
Yn 12:1-11Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni