Alhamisi ya 6 ya Mwaka
· Mwaka C · Juma la 2 la Zaburi
Somo la Kwanza
Mwa 9:1–13Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 102:15–20, 28, 21–22Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi.
Mataifa wataliogopa jina la Bwana.
Na wafalme wote wa dunia utukufu wako;
Atakapoonekana katika utukufu wake,
Atakapoyaelekea maombi yake aliye mkiwa,
Asiyadharau maombi yao.
K. Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi.
Kizazi kitakachokuja kitaandikiwa hayo,
Na watu watakaoubwa watamsifu Bwana.
Maana ametazama toka patakatifu pake pa juu,
Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi
Ili akusikie kuugua kwake aliyefungwa,
Na kuwafungua walioandikiwa kufa.
K. Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi.
Wana wa watumishi wako watakaa,
Na wazao wataimarishwa mbele zako.
Watu walitangaze jina la Bwana katika Sayuni,
Na sifa zake katika Yerusalemu.
Pindi mataifa watakapokusanyika pamoja,
Falme nazo ili kumtumikia Bwana.
K. Toka mbinguni Bwana ameiangalia nchi.
Shangilio la Injili
Zab 147:12, 15Msifu Bwana, ee Yerusalemu, na neno lake nimelitumainia.
Aleluya.
Injili
Mk 8:27–33Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni