Alhamisi ya 32 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Flm 1:7–20Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 146:7–10Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake.
Bwana huishika kweli milele,
Huwafanyia hukumu walioonewa,
Huwapa wenye njaa chakula,
Hufungua waliofungwa.
K. Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake.
Bwana huwafumbua macho walopofuka,
Bwana huwainua walioinama,
Bwana huwapenda wenye haki,
Huwahifadhi wageni.
K. Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake.
Huwategemeza yatima na mjane,
Bali njia ya wasio haki huipotosha.
Bwana atamiliki milele,
Mungu wako, Ee Sayuni, kizazi hata kizazi.
Aleluya.
K. Heri ambaye Mungu wa Yakobo ni msaada wake.
Shangilio la Injili
Zab 27:11Ee Bwana, uifundishe njia yako, na kuniongoza katika njia iliyonyoka.
Aleluya.
Injili
Lk 17:20-25Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni