Jumatano ya 20 Mwaka
· Mwaka B · Juma la 4 la Zaburi
Somo la Kwanza
Eze 34:1-11Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 23:1-6Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza, Kando ya maji ya utulivu huniongoza.
Hunihuisha nafsi yangu;
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Huniongoza Katika njia za haki kwa ajili ya jina lake.
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya;
Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Waandaa meza mbele yangu, Machoni pa watesi wangu.
Umenipaka mafuta kichwani pangu, Na kikombe changu kinafurika.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Hakika wema na fadhili zitanifuata Siku zote za maisha yangu;
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele.
K. Bwana ndiye mchungaji wangu, sitapungukiwa na kitu
Shangilio la Injili
Ebr 4:12Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.
Aleluya
Injili
Mt 20:1-16Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni