Jumamosi ya 1 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 30:19-21, 23-26Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 147:1-6Heri wote wamngojeao Bwana.
Aleluya. Msifuni Bwana; Maana ni vema kumwimbia Mungu wetu,
Maana kwapendeza, kusifu ni kuzuri.
Bwana ndiye aijengaye Yerusalemu,
Huwakusanya waliotawanyika wa Israeli.
K. Heri wote wamngojeao Bwana.
Huwaponya waliopondeka moyo,
Na kuziganga jeraha zao.
Huihesabu idadi ya nyota,
Huzipa zote majina.
K. Heri wote wamngojeao Bwana.
Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu,
Akili zake hazina mpaka.
Bwana huwategemeza wenye upole,
Huwaangusha chini wenye jeuri.
K. Heri wote wamngojeao Bwana.
Shangilio la Injili
Isa. 33:22Bwana ndiye mwamuzi wetu; Bwana ndiye mfanya sheria wetu; Bwana ndiye mfalme wetu; Ndiye atakayetuokoa.
Aleluya.
Injili
Mt 9:35- 10:1, 6-8Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni