Ijumaa ya 1 ya Majilio
· Mwaka A
Somo la Kwanza
Isa 29:17-24Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 27:1, 4, 13-14Bwana ni nuru na wokovu wangu.
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani?
K. Bwana ni nuru na wokovu wangu.
Neno Moja nimelitaka kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta,
Nikae nyumbani mwa Bwana Siku zote za maisha yangu,
Niutazame uzuri wa Bwana, Na kutafakari hekaluni mwake.
K. Bwana ni nuru na wokovu wangu.
Naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana Katika nchi ya walio hai.
Umngoje Bwana, uwe hodari, Upige moyo konde, naam, umngoje Bwana.
K. Bwana ni nuru na wokovu wangu.
Shangilio la Injili
ShangilioTazama Bwana wetu atakuja na nguvu, Na atayaangaza macho ya watumishi wake.
Aleluya.
Injili
Mt 9:27-31Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni