Jumatatu ya 15 ya Mwaka
· Mwaka B · Juma la 3 la Zaburi
Somo la Kwanza
Isa 1:10–17Neno la Bwana. — Tumshukuru Mungu.
Wimbo wa Katikati
Zab 50:8–9, 16–17, 21, 23Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Sitakukemea kwa ajili ya dhabihu zako,
Na kafara zako ziko mbele zangu daima.
Sitatwaa ng’ombe katika nyumba yako,
Wala beberu katika mazizi yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Una nini wewe kuitangaza sharia yangu,
Na kuliweka agano langu kinywani mwako?
Maana wewe umechukia maonyo,
Na kuyatupa maneno yangu nyuma yako.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Ndivyo ulivyofanya, name nikanyamaza,
Ukadhani ya kuwa Misri ni kama wewe.
Atoaye ya kuwa Misri ni kama wewe.
Atoaye dhabihu za kushukuru ndiye anayenitukuza.
Nitamwonyeshsa wokovu wa Mungu.
K. Nitamwonyesha wokovu wa Mungu.
Shangilio la Injili
ShangilioEe Bwana unijulishe njia zako, unifundishe mapito yako.
Aleluya.
Injili
Mt 10:34-11:1Injili ya Bwana. — Sifa kwako, Ee Kristo.
Maoni (0)
Bado hakuna maoni. Kuwa wa kwanza kutoa maoni.
Ingia utoe maoni